Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, February 4, 2016

IFWT_sugeknightdone
Suge Knight bado yupo jela akitumikia kifungo kwa kosa la kuua kwa kugonga mtu (Terry Carter )  na gari na kukimbia .Akiwa bado anatumikia kifungo huku bado kesi yake ikiendelea na kuwekewa kiasi kikubwa cha dhamani,mdao huyo mkubwa wa Hiphop amekatiwa uhuru wa kutumia simu na hata kutembelewa na ndugu na jamaa zake kwa kile kilichodaiwa kuepuka kukwepesha na kupoteza ushahidi.

0 comments:

Post a Comment