Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, February 4, 2016

Universal Music Group Denies Fault For Rihanna’s “ANTI” Album Leak
Universal Music Group wametoa taarifa za kukanusha taarifa za wao kuhusishwa na kuvuja kwa albamu mpya ya Rihanna  ANTI .

Muwakilishi wa Universal alitoa taarifa hizo kwa mtandao wa Billboard baada ya wasemaji wa  TIDAL kupeleka lawama kwa Universal kuhusu kuvuja kwa albamu hiyo mpya ya Rihanna ANTI kabla ya tarehe ya kuzinduliwa.
 
Album ya Rihanna ''ANTY imefuzu mauzo ya platinum siku ya kwanza ilipoingizwa mtandaoni kwa mujibu wa RIAA kwani iliza zaidi ya nakala million 1.

Billboard did not recognize these numbers in its official Top 200 albums chart and ANTI landed at #27 on the chart, selling 15,896 album equivalent units and 460 albums.

0 comments:

Post a Comment