Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, February 4, 2016


Mwezi Aug.2015,mwamnamke aliyefahamika kwa jina la Priscilla Rainey alifungua kesi ya kutaka kulipwa fidia ya dolla million 10 kwa kile alichokiita kudhalilishwa kijinsia na rapa The Game wakati wa ufanyaji wa video.
Rainey amesema wakati yupo katika mazingira ya ku shoot video,rapa The Game alimpalapata nyeti zake bila ridhaa yake.
Wakili wa Rainey aliwasilisha vidhibiti kwa hakimu na kusema mteja wake anastahili kulipwa kiasi cha doolla million 10 kwaajili ya kujiweka sawa kufuatia udhalilishaji aliofanyia kumuathiri kisaikolojia.
Rappa The Game ameshindwa kesi hiyo kwani hakutoa ushirikiano waaina yeyoteikiwamo kutopinga,kukataa ama kukubaliu hivyo hakimu ana nafasi ya kumpatia hukumu hiyo.

Game alijibu mapigo kwa kusema binti huyo hatoina hata senti moja huku akiambatanisha na ujumbe huu:

“Let’s get one thing very CLEAR: that thirsty Gatorade mascot of a transvestite WILL NEVER see $10,000,000 or anything close to a penny of my money. People think because they read a headline in BOLD PRINT they think its true… She won a judgement of 10 million dollars & means that a judge because I’m overseas has given this chicken a chance to MAYBE be able to afford a lifetime supply of lace front glue if my lawyers don’t respond to this suit by the 26th of this month which they will do tomorrow am.”

0 comments:

Post a Comment