Rapa na mwanamitindo toka pande za Chicago,Kanye West ametangaza mipango yake kuhusu namna atakavyokuwa akiachia albamu kwa mwaka.
Kupitia akaunti yake ya Twitter (March 12) Kanye West pia ametangaza mipango yake kuhusu maswala yake ya mitindo na kusema "No more fashion calendar...I'm going Mad Max... 6 collections a year...3 albums a year akimanisha hakuna tena kungojea mwaka upinduke ndiyo aje na kitu katika mitindo badala yake atafanya zaidi ya na ametangaza kutoa mara 6.
West tayari ana albamu mpya ambayo ipo madukani The Life of Pablo lakini pia ametangaza albamu inayofuata alioipa jina Turbo Grafx 16.
West pia mwaka huu amezindua Yeezy Season 3 adidas collection kwa fashion show iliyofanyika katika ukumbi wa Madison Square Garden ambapo alipremiere The Life of Pablo.
West has also stated that he will no longer make his music available in CD format, only streaming. The Life of Pablo is now available for streaming on TIDAL.
Monday, March 14, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment