Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 15, 2016


Rihanna anazidi kupaa na ku shine.
Star huyo mumbaji toka pande za Bajan ambaye yupo katuka ziara yake ya muziki aliyoipa jina “ANTI World Tour,” ametangazwa kutunukiwa tuzo ya BET,“Black Girls Rock!” mwezi ujao .


RiRi ametangtazwa atatunukiwa tuzo ya Rock Star ambayo hutolwa kila mwaka kuwatunukia wanawake weusi ambapo sherehe za utaoji wa tuzo hiyo utafanyika April 1 katika ukumbi wa New Jersey Performing Arts Center huko Newark na kurushwa katika televisheni April 5.

Akishukuru wasimamizi na waandaaji wa tuzo hizo kupitia kaunti yake ya Twiter Rihana aliandika:
“Thank you @BlackGirlsRock for this years’ Rock Star Award!!”

0 comments:

Post a Comment