Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 15, 2016

Timu ya rapa Tyga  ambayo huongoana nayo katika ziara zake mbalimbali za muziki imefunguliea mashtaka kwa kuwashambulia na kuwajeruhi wanachama wawili wa  kundi la EDM group Cash Cash.
Watu hao wa rapa Tyga’ wamewajeruhi wanachama wawili wa Cash Cashambao ni bw Jean Paul Makhlouf na Samuel Frisch siku ya jumamosi (March 12). 
Taarifa zaidi zinadai utata ulianzia pale rapa Tyga alipobadilisha ratiba ya tamasha maalumu la melini lililopewa jina Sea cruise festival,ambapo kwa kufanya hivyo aliwaharibia ratiba yao waliopanga wana Cash Cash. 
Kufuatia kubadilika huko kwa ratiba yalitokea majibizano ambapo dj Tyga ameonekana akimrushia makonde Makhlouf “na badaye wakaonekana timu ya Tyga ikiingilia na kumpiga mateke ya mbavuni,kichwani na hata kum buruza bwana Jean Paul.Tifu hilo lilipelekea kujeruhiwa pia member mwingine wa Cash Cash bw "Samuel Frisch hivyo kuwafanya washindwe kutumbuiza kama ratiba ilivyowataka kutokana na maumivu waliyoyapata.
 Tyga na Cash Cash walishafanya ziara kama hiyo pamoja mwaka 2008.

0 comments:

Post a Comment