Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 17, 2016

 
Nicki Minaj amsihi mpenzi wake wa sasa rapa Meek Mill kuacha kujikweza na kumuita mchumba.


Akiongea na waandishi wa Nylon magazine Nicki ambaye anavaa pete katika kidole cha ndoa amedai pete hiyo aliyovalishwa na mpenzi wake huyo wa sasa,Meek Mill  si ya uchumba na kusisitiza bado hajachumbiwa na huwa anamshangaa mpenzi wake huyo mara kwa mara kumuita mchumba.

Nicki ambaye amesema yupo tayari kuwa mke na hata mama wa watoto wa rapa meek amesema wnaenda kwa hatua katika mahusiano yao na ikifikia akivishwa pete ya uchumba atakuwa huru na atajisikia raha zaidi kuitwa mchumba kuliko sasa ni kama kuvikwa kilemba cha ukoka.

0 comments:

Post a Comment