Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 17, 2016

 
Chris Brown mesema anatengeneza filamu.
Muimbaji huyo mkali wa PoP na R&B  ametangaza na kusema anakuja na  “official documentary,aliyoipa jina ” Welcome to My Life, ambayo itaongozwa na director Andrew Sandler na Riveting Entertainment.
Chris Brown bado hajsema ni lini ataachia hiyo documentary ila amesema “coming soon.”
Welcome to My Life itakuwa ni filamu aina ya autobiographical ambayo itaelezea story ya maisha yake tangu kuwa  America’s sweetheart mpaka kuwa public enemy number one.”
 Brown si mgeni katika upande wa uigizaji wa filamu kwani muimbaji huyo mahiri wa Pop na R&b ameshashirki katika filamu  kama This Christmas, Think Like a Man,Battle of the Year nk.

0 comments:

Post a Comment