Kiwanda cha muziki kimebadilika kabisa kutokaa na kukua kwa teknolojia ya haswa ya Internet na mitandao ya kiamii
ahaswa pale inapotoa nafasi kwa mwanamuzi kuunganishwa na mashabiki wake na kuleta tofauti kubwa.
Jana (March 16), TIME imetoa orodha yake ya sehemu ya pili ya zoezi lake la kila mwaka la kutaja watu 30 wenye ushawishi zaidi mitandaoni ( "30 Most Influential People on the Internet) ," ambapo ndani yake wametajwa mastaa kama Kanye West, Drake na DJ Khaled.
West anaingia katika orodha kwasababu mara zote hutumia mitandao kujitangaza yeye na kazi zake Tkuanzia za muziki,mitindo na hata kuhusu familia yake na kama haitoshi hivi karibuni alizindua albamu yake ya The Life of Pablo mtandao ni tu kupitia TIDAL na ukiachilia hayo mr West mkewe ni Kim Kardashian, ambaye ana mobile apps ki emoji.
Drake anatajwa kwa ubunifu wake wa vitu vinavyokuwa gumzo mitandaoni mfani video for "Hotline Bling," ambayo ilitumika kama sehemu ya tangazo katika fainaly za Super Bowl 50 .Rapa huyo toka Toronto pia alionyesha kiasi gani ana power katika Internet wakati akiwa katika vita na Meek Mill alipokuja na kibao "Back to Back," diss track.
DJ Khaled ametunukiwa kuwa masta wa art na Snapchat.Dj na Producer huyo mwenyeji wa Miami aana zaidi ya watu millioni 20 wanaomfuata katika mitandao na umaaruf wake ulipaa zaidi pale alipokabdhiwa ufungo wa
Miami ( key to the city ) na meya wa mji huo Tomás Pedro Regalado.
Thursday, March 17, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment