Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 31, 2016

 
Puff Daddy & The Family wametangaza kuungana usiku mmoja katika tamasha lililopangwa kufanyika katika ukumbi wa the Barclays Center Brooklyn, New York.

Taarifa zaidi zimesema tamasha hilo linatarajiwa kufanyika May 20 na kupmbwa na orodha ya waimbaji na ma mc wakali kama Puff Daddy, Faith Evans, Lil’ Kim, Mase, French Montana, Total, 112 Mario Winans.
Wahusika na uandaaji wa tamasha hilo wamesema sambamba na kuungana kwa Bad Boy Family pia sherehe hizo zitahusisha kusherekea siku ya kuzaliwa Biggie May 21. 
Akiongea na vyombo vya habari bosi wa Bad Boys,Sean “Puff Daddy” Combs amesema: "This isn't just another concert,”  "This is Hip Hop history. The Bad Boy Family includes some of the biggest names in music and songs that helped define a whole generation of music,This will be a night to remember. I can't wait to see you all there.”
Bad Boy Entertainment and Biggie collaborators Jay Z and Mary J. Blige are among the special guests slated to appear at the concert, which will feature music from Bad Boy Entertainment’s 20-plus year history.
The Bad Boy Entertainment family mara ya mwisho waliungana na kupanda jukwaani katika 2015 BET Awards.
Ticketskwaajili ya “One Night Only” zitaanza kupatikana katika Live Nation’s website April 2 saa 5 asubuhi..

0 comments:

Post a Comment