Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 31, 2016

 The 57th Annual GRAMMY Awards – Red Carpet

Kanye WesT ameonyesha kuchanganywa na kupatwa na hasira baada ya kupata taarifa ya uvumi juu ya kwamba yeye si baba halisi wa binti wa Kim Kardashian,North West.

Kanye West, 38,imesemekana anataka kwenda kupima DNA ili kuhakiki kwamba North West, 2, ni mwanaye wa damu ama Kim Kardashian, 35, amempiga kanyaboya.
Kanye West na Kim Kardashian jana imetngazwa wamhamia katika mjengo wao wa kifahari lakini hakuna furaha kwani habari hizi si nzuri kwa wapenzi.

Minongono hiyo inazidi kupama moto na kuenea huku kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya chanzo cha uvumi huo huku wengine wakisema wanadha watu wameamua kuyazusha kwasababu Kanye anampenda sana binti yake huyo.
Moja kati yasababu ambazo zinapelekea baadhi ya mashabiki kuamini kama West amebabmbikiwa mtoto ni kwamba Kim aliharakisha kupata ujauzito ili am bambikie vizuri ujauzito huo ambao kuna tetesi kwamba ni wa mmoja wa ma ex-boyfriende

0 comments:

Post a Comment