Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, March 30, 2016

0329-kim-kanye-mansion-tmz-akm-01
Kanye West na mkewe,Kim Kardashian wamehama nyumbani kwa Kris Jenner na kuhamia huko Bel-Air japo walitangaza kuutia sokoni mjengo huo.
Kim na Kanye ambao kwasasa wana watoto wawili walihamia nyumbani kwa mamam wa Kim,bi  Kris Jenner wakati Kim akiwa na ujauzito wa binti yao,North na sasa wana watoto wawili kwa North amepata kaka aliyepewa jina la Saint.

Kris Jenner  walinunua jumba hilo la kifahari mnamo mwaka 2013 kwa kiasi cha dola millioni 11 na kuhama kwa muda kupisha marekebisho makubwa,taarifa zaidi ziansema walitangaza kuuza jumba hilo kwa dolla millioni 20.


0 comments:

Post a Comment