Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 14, 2016



J.Lo na Marc Anthony wanajulikana kama watu maarufu waliotalikiana na kikubwa kilichosababisha hata wadumu kwa wakati ule ni kila mmoja kuwa na kazi nyingi.

Lopez aweka wazi kwamba kitendo cha kuvunjika kwa ndoa yao kilimfanya ajisikie vibaya muda mwingi ukiangalia tayari walikuwa washabarikiwa watoto mapacha,Max na Emme ambao kwasasa wana umri wa miaka 8.
J.Lo amesema Marc ni baba wa watoto ake  hawezi kulikwepa,ila hakukubali upweke umtese hivyo alijishughulisha sana na kazi zake na kuangalia watoto wake, the hardest work I do.”
Lopez na Anthony, 47 walikuwa na mausiano tangu waka 2004 mwanzoni na walfanikiwa kuoana mwezi June mwaka huo ambapo walidumu mpaka 2011 walipotalikiana.
J.LO nakiri kwamba katika mazingira,kazi kubwa na ngumu alizowahi kupitia ni kuwa na Marc Anthony

0 comments:

Post a Comment