Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 24, 2016

Tokeo la picha la chris-brown & royalty-wear-a-tutu




Chris Brown kupitia ukurasa wake wa Instagram na mitandao minigine ya kijamii alimjia juu mama wa binti yake bi a Nia Guzman kwa 
kumvisha binti wao Royalty kivazi kama cha binti wa miaka 16 alipompeleka katia darasa malumu la ku dance,ballet class.Hayo yote yalitokea baada ya mama wa mtoto huyo kupost picha katika akaunti yake ya Instagram ikimuonyesha mtoto Royalty akiwa amevalia kivazi aina ya tutu.

Chris Brown alionyesha kutofurahishwa na hali hiyo ya binti yake wa miaka 2 kuvalivshwa kama msichana wa miaka 16 na kuandika ujmbe:


: ‘It’s crazy to me that a parent would OK dressing our daughter like she’s 16. I ain’t cool wit that. SHE IS 2!!!!’

Rapa T.I. akihojiwa kuhusu mkasa huo alisema yupo upande wa Breezy,na alipoulizwa kwanini alisema kwasababu yeye ni baba na moja kati ya kazi na majukumu ya baba ni kuwalinda na kuwaongoza watoto haswa mabinti. 

0 comments:

Post a Comment