Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 24, 2016

 
Muimbaji mahiri toka Canada,The Weeknd alikuwa na uasiku mzuri baada ya kujinyakulia tuzo nyingi katika sherehe za utoaji w tuzo za 2016 Billboard Music Awards (May 22).
Weeknd alitajwa kuwania tuzo hizomara 19 katika vipengele 16 na kufanikiwa kujizolea tuzo  8 zikiwamo za Top Song Sales Artist, Top R&B Artist na Top 100  tuzo aliyoitaja ya kumenzi legend Prince.Baada ya kuzoa tuzo hizo,Weeknd alitoa acceptance speech mitandaoni kwa kuandika kupitia mtandao wa Tweeter :
XO we took home 8 ! more than any male artist in history  Thank you

Hiyo ilichukuliwa kama ni dongo kwa muimbaji m,ahiri wa pop na rnb Usher ambaye mwaka 2004, Usher alijizolea tuzo 14 kupitia nyimbo zilizomo katika albamu yake ya Confessions.
Dakika chache baada The Weeknd kupost ujumbe huo alipata majibu toka kwa mashabiki wakimtaka arekebshe kauli yake kwa kumuandikia: Apologize to the OG @Usher, got excited and spoke to soon” he tweeted a few hours after the show was over.

The Weeknd ameng'ara zaidi katika tuzo hizo kutokana mna masongi yaliyomo katika albamu yake hiyo ya mwaka 2015 , Beauty Behind The Madness ambayo imebeba mangoma kama “I Can’t Feel My Face” .
winners here.

0 comments:

Post a Comment