Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, June 24, 2016

 Chris Brown and Mike G.
Drama za kesi za Chris Brown zinaendelea.
This time Chris Brown amefunguliwa mashtaka na meneja wake bw Mike G aliyedai kupigwa ngumi usoni na shingoni na baada ya tukio kulazimisha kwenda emergency room.
Katika mashtaka hayo bw Mike amesema pamoja na kupigwa pia amedhalilisha katika mitandao ya kijamii sambamba na kuwapiga mkwala aliokuwa nao ziarani kwamba nao watachezea kichapo kama yeye.
Mike amefunguka na kusema tabia hiyo ya vitendo vya kupigapiga humjia Brown akishatumia madawa ya kulevya.
Baada ya kusikia tuhuma hizo Brown alijibu mapigo kwa ktuma kipande cha video katika mitandao akisema meneja huo Mike G alimtimua kazi kwasababu alikuwa na mkono.

0 comments:

Post a Comment