Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, June 24, 2016

Fat Joe Settles Long-Standing Big Pun Lawsuit With Late Rapper’s Widow
Kufuatia kutokuwa sawa na kutoelewana baina ya rapa Fat Joe na mjane wa Big Pun,biLiza Rios, pande hizo zimeweka mambo sawa.
2014 mjane wa Big Pun,biLiza Rios alimfungulia kesi ya madai Fat Joe kumtaka amlipe dola 1,000,000. kwakile alichokisema walikubaliana kwamba atakuwa akipata malipo kutokana na kazi za mumew zitakazouzwa lakini haikuwa hivyo.

Joey Crack kwa kushirikiana na music publisher John “Jellybean” (June 22) wamemfata mjane Rios na kumalizana naye katika mahakama ya Manhattana ili kesi isiendelee.
Manhattan Federal Court. Fat Joe, nor John “Jellybean” Benitez were present at the hearing.
Japo haijulikani kwa kina walichoafikiana ila taarifa ziinasema mjane wa Big Pun alitakiwa kulipwa kiasi cha dola 2,000,000.
Katika kuthibitisha wamekwnda sawa bi Rosaria amesemaa:
“We are pleased with the settlement,”  “We think it was fair, and we’re pleased.”

0 comments:

Post a Comment