Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, June 30, 2016

Kanye West

Rapa na m bunifu wa mitindo Kanye West na kampuni ya mavazi na vifaa vya michezo ya German Adidas kutengeneza history.
Kanye West na Adidas wametangaza kuongeza mkataba wa mahusiano yao na kuendelea kutoa matoleo mapya ya adidas + Kanye West, a Yeezy upande wa viatu,raba,mavazi mengine ya michezo kwa jinsia zote.


Taarifa hizi za kuongeza mkataba wa mahusiano katika maswala ya ubunifu na matolea zimekuja baada mafanikio kibiashara yaliyoonekanaa kupitia matoleo ya viatu na raba za Adidas x Kanye yaliyoanza kuuzwa miaka miwili iliyopita.
Matoleo yajayo ya adidas + KANYE WEST yatatoa afasi kwa wanunuzi kuchagua na mara hii sambamba na mavazi ya kimichezo yatatoka pia mavazi ya kuvaa mitaani.

0 comments:

Post a Comment