Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, June 30, 2016

 Tokeo la picha la Iggy Azalea and Nick Young
Hivi karibuni vyombo vya habari za kiburudani vilipambwa na habari za staa wa kike wa muziki wa hiphop Iggy Azalea  kummwaga star wa mpira wa kikapu wa timu inayoshiriki ligi ya NBA,Los Angeles Lakers,Nick Young huku mashabiki wakibaki na maswali mengi ya kujiuliza juu ya nini kimewasibu mastaa hao.
Akiwa Australian rap star Iggy Azalea alifunguka katka mahojiano juu ya kilichopelekea kuvunjika kwa mahusiano yao huku akimtupia lawama Nick Young kwamba hakuwa mwaminifu ambapo chanzo cha hayo yote ni baada ya teammate wa Nick,D'Angelo Russell kurusha mitandaoni kipande cha video kinachomuonyesha Nick akiongea kimahaba na msichana.
Taarifa za ndani kabisa zinasema mambo ya kuongea na msichana na hata ishu za kutokuwa muwanifu hazikuwa sababu tosha huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni Nick Young aka Swaggy P anatarajia mtoto mwingine na mama wa mtoto wake wa miaka minne Nick Jr,bi Keonna Green.
“Nick alisubiri mpaka ujauzito wa baby mama wake huyo kufika miezi minne ndipo alipomwambia   Iggy huku kisingizio kikiwa ati siku ya tukio lililopolekea ujauzito alikuwa amelewa.

0 comments:

Post a Comment