Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, June 28, 2016


Mdau wa muziki wa HipHop Suge Knight atangaza kum buruza Chris Brown mahakamani kufuatia tukio la kujeruhiwa na risasi katika kilabu mwaka 2014 na kusema linahusiana pia na tukio la kumgonga mtu na kumuua kisha kukimbia katika eneo la utengenezaji wa filamu yaStraight Outta Compton.
C-Breezy alianda paty katika klabu ya Oak huko Hollywood, California na pati hiyo kuingiwa na dosari ya kurindima kwa risasa kulikopelekea Suge kujeruhiwa mkono na kifua.
C-Breezy na wamiliki wa kilabu wailikri kuwepo kwa tatizo la walinzi wachache.
Suge amefungua kesi katika mahakama kuu ya Los Angeles akiwataka Brown,co-host Pia Mia na wamiliki wa kilabu kumlipa gharama alizotumia kujitibu.


Knight amesema baada ya tukio la kujeruhiwa kwa risasi alitembelea eneo la akiwa bado anaugulia alihudhuria shughuli za ukamilishaji wa filamu ya  Straight Outta Compton ambapo anadai alivamiwa na watu watatatu akiwamo Sloan ndipo alipoamua kukimbia kuokoa maish yake kitendo kilichopelekea kuwagonga watu na kuua mmoja.

0 comments:

Post a Comment