Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, June 28, 2016

The 57th Annual GRAMMY Awards - Pre-GRAMMY Gala And Salute To Industry Icons Honoring Martin Bandier - Arrivals


Chris Brown ametajwa kumtishia meneja wake kiasi kwamba amefikia kuacha kazi.
Taarifa zaidizinasema meneja huyo wa Chris Brown bi Nancy Ghosh alifikia uamuzi wa kuacha kazi kwa kile aalcihokisema kusemewa mbovu na kudhalilishwa kwa mineno baada ya kuhoji makubaliano ya ajira yake tukio lilitokea  May 23 wakiwa katika ziara ya muziki huko ulaya.
Baada ya kusemewa mbovu,Nancy Ghosh alituma ujumbe kwa emali kwa timu ya Chris Brown na kuwaambia anaona hayupo sehemu salama kwani mtu huyo anageuka mnyama akishabwia madawa ya kulevya na kuongeza kusema alitishiwa angetwanga kama alivyotwanga menja  Mike G”ambaye ivi karibuni alifungua kesi dhidi ya Brown kwa kupigwa.



0 comments:

Post a Comment