Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, July 1, 2016

Dr. Dre Reunites With Scott Storch

Dr. Dre na producer Scott Storch wanatengeneza tena history.
Baada ya kufanya pamoja ile megahit ya mwaka 1999  "Still D.R.E.wakali hao walikutana tena na kutengeneza singo iliyotakiwa kuwapo katika albamu Detox, "Under Pressure" project ambayo haikutolewa zababyu ya kuvuja baadhi ya kazi mwaka 2010.
Dr. Dre na Sott Storch kila mmoja akashika njia yake wakati Dre alitangazwa kupata dili kubwa na Aple,Scott akawa katika dimbwi kubwa la matumizi mabaya ya madawa ya kulevya yaliyompelekea kufilisika.

Kwasasa Storch anaonekana ana jitihada za kutaka kurejea katika kazi kwa nguvu,baada ya kushiriki kusimamisha hit ya  Rick Ross's "Sorry,"  features Chris Brown na "All Eyez" ya The Game na Jeremih,sasa ametajwa kuungana tena na Dr. Dre kama wanavyoonekana katika picha ya pamoja iliyoposyiwa Instagram leo ikiwa na captio: "It's a big day in hip hop earlier today," t "Reunited and it feels so good#drdre X #scottstorch what a great meeting ! Stay tuned ❗️history repeats it self#weworking"

Katika mahojiano na mtnadao wa  HipHopDX mwezi February, Storch aliongelea utengenezaji wa Still D.R.E na kusema alifanikiwa kufanya megahit kwasababu alikuwa na natural chemistry na Dre.
"I remember he was having a sandwich in the kitchen," he said, "and I started noodling this piano riff, ding, ding, ding, ding, and he came running in. He was like, 'Yo, that's that shit. What is that?' He immediately got on the drums and killed that shit. We just, we made one. We got one."

0 comments:

Post a Comment