Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, July 1, 2016

DMX To Appear In Independent Film "Pimp"
DMX ametajwa kurejea tena katika ulimwengu wa uigizaji wa filamu na tayari ametajwa kushiriki katika filamu iliyopewa jina Pimp.
Katika filamu hii waandaaji wamesema inahusu hadithi ya mwanaume  aliyepewa jina Keke Palmer, na girlfriend wake  Haley Ramm wakisakanya kutafuta maisha bora katika mitaa ya jiji la New York lakini zaidi itahusu hali halisi za wanawake wanoishi katika mazingira magumu wanavyojitahidi kutafuta njia za kuishi maisha mazuri na inaisukuma jamii kuokoa kizazi cha watoto kujiepusha na uhalifu na matumizi mabaya ya silaha..
Tayari waongozaji na washiriki wa filamu ya Pimp wapo location huko Bronx

0 comments:

Post a Comment