Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 26, 2016

Tokeo la picha la wizkid and sena paul
Wizkid ambaye kwasasa anatamba kwa kolabo yake na Drake 'One dance' ambayo imefanya vizuri sana mpaka katika chati za Billboard,na track Shabba aliyowashirikisha Chris Brown, Trey Songz na French Montana,ametangaza kuachia kazi mpya na mkali wa miondoko ya ragga dancehall Sean Paul.
Wizkid kupitia tweeter amewashirikisha mashabiki kutoa maoni yao juu ya wanapata picha gani kuhusu kolabo ya Wizkid na Sean Paul na mashabiki walionyesha kushtushwa kwa furaha.
Sean Paul hivi karibuni akihojiwa na waandishi wa jarida la The FADR aliongelea jinsi anavyovutia na mtindo wa wa muziki wa AfroBeat na sond za muziki wa na kusema ilikuwa mpya lakini ilimvutia zaidi baada ya mastaa toka Janmaica  Kevin Lyttle na Rupee walipojaribu kuimix na soca .

0 comments:

Post a Comment