kizungumza katika mahojiano jana Oct. 29 na Ryan Seacrest,Kanye ameendeleza tamthilia ya kumsifia zaidi mchumba wake,Kim K,na mara hii amefikia kumpaisha juu ya First Lady wa America Michelle Obama.
Haishangazi kwa wanaojua kwamba Kanye West ni shabiki mkubwa wa Kim Kardashian kuanzia katika kipindi chake cha uhalisia cha Keeping Up With the Kardashians na masuala ya mitindo.
Kanye amesisitiza kwa kusema,Kim ndiye mwanamke gumzo na anayetazamwa na watu wengi zaidi kwa muonekanao,mavazi na mitindo ya kisasa.Hakuna anayewwangalia Barack na Michelle Obama wamevaa style gani,huwezi kumuona Michelle Obama kwa instagram kavalia bikini,kitu ambacho Kim K anafanya kila kukicha.
Wednesday, October 30, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment