Hatua hii kwa rappa mwenye vituko,Eminem naweza kuuita ni mabadiliko makubwa,rappa Eminem ameshawahi kutoa wimbo ‘Cleanin’ Out My Closet’ na nyimbo nyinginezo nyingi za kuonyesha ana tatizo na mama yake lakini mwisho wa siku Eminem anakili kwamba bado anampenda mama yake.
Rappa Eminem ametoa wimbo Headlights aliomshirikisha Nate Ruess,wimbo unaozungumzia mahusiano yake na mama yake,na haya ni baadhi ya maneno katika wimbo huo:
“And I’m mad I didn’t get the chance to thank you for being my mom and
my dad,” says Em. “So mom, please accept this as a tribute.”
Thursday, October 31, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment