Mitandao huko America imeandika Party's over for Justin Bieber, Soulja Boy na namba kubwa ya wana hip hop wanaopendelea dawa ya kifua aina ya sizzurp aka lean,aka codeine sababu dawa hizi zimeondolewa sokoni na watengenezaji wa bidhaa hizo.
Kabla hawajasikitika wala kulaumu kuondolewa kwa dawa hizo,Justin Bieber, Soulja Boy na wana hip hop wanaopendelea dawa ya kifua aina ya sizzurp wajue sababu ni wao na matamizi yao ya tofauti na tiba ya kifua.
Wajuzi wa mambo wametuelezea kwamba lean (aka sizzurp aka Dirty Sprite aka Purple Drank)inatengenezwa kwa kuchanganya dawa hiyo ya kifua aina ya codeine cough syrupna soda ya Sprite ama soda nyingine yeyote yene gesi nyingi kulingana na matakwa ya ladha yako uipendayo.
Thursday, April 24, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment