Rapa Jay-Z na mkewe Beyoncé wamekuwa wakitajwa mara kwa mara na vyombo vya habari juu ya mataizo kati yao lakini kubwa kuliko ni lile la rappa huyo kushambuliwa na shemejiye Solange wakiwa kwenye lift wakitokea katika tamasha la MET Gala.Kuna jingine limejitokeza na linongelewa kwamba kuna uwezekano mkubwa wa rappa Jay Z na mkewe Byonce kutalikiana baada ya kusemekana rappa Jay Z anajiiba kimapenzi na muimbaji wa R&B,Mya.
Mtandao wa MediaTakeOut umeandika kwamba Jay-Z amekuwa na mahusiano na Mya kisirisiri kwa muda mrefu a inasemekana hata katika matumizi mbalimbali ameonekana Jay-Z akimalizana na bili.
Wednesday, June 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment