Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, June 25, 2014

0624-justin-bieber-car-accident-pcn-4
Justin Bieber alipata ajali ya gari siku ya jumanne huko Bev Hills baada ya gari alilokuwamo kama abiria kukimbizwa na waandishi wa habari.
Justin Bieber alikuwa katika gari aina ya Escalade na lilikuwa katika mwendo wa kasi kwani walikuwa wakiwakimbia mapaparazi ndipo walipoligonga gari aina ya BMW lililokuwa likiingia barabarani likitokea katika maegesho.Taarifa zaidi zinasema baada ya  ajali hiyo Bieber  kwa haraka alichukuliwa na gari linguine aina ya SUV na kutoweka.Watu wa usalama wamesema hakuna aliyeumia katika ajali hiyo.

0 comments:

Post a Comment