Msanii wa Hustle Gang,Iggy Azela ameongea mara ya kwanza tangu itokee kile kinachopitwa kudissiwa na rappa Nicki Minaj alipokuwa akipokea tuzo ya BET siku ya jumapili june 29.
Kupitia akunti yake ya Instagram rappa Iggy Azela ameandika " anaamini lile kombora limerushwa upande wake na anaamini kwamba inaweza ikawa ni kweli kilichoongelewa ila tu kwasababu hakupata tuzo ile siku ile. Amesema hajaumia kwa kilichotokea wala kusemwa katika tuzo za BET yeye anachoamini ni kwamba haukuwa mwaka wake kupato tuzo hiyo ndiyomaana hyo yote yakatoke.Iggy Azela na Nicki Minaj walikuwa katika kinyang'nyilo cha Best Female Hip Hop Artist
Na katika habari nyingine rappa Iggy Azela ametengeza history katika chati za 100 bora za Billboard baada ya track yake ''Fancy'' kushikilia namaba moja kwa wiki sita mfuruliza ikiwa ni mara ya kwanza kwa rappa wa kike.Billboard.com wameandika Iggy Azela track yake imewapiku mastaa kama Lil’ Kim na track yake who ambayo ilishika namba moja katika chati hizo kwa wiki tano.Mwingine aliyepitwa ni rappa wa kike Lauryn Hill alishika namba moja katika chati hizo kwa wiki mbili mwaka 1998 na singo yake“Doo Wop (That Thing).
Thursday, July 3, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment