Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 2, 2014


 Cameron Diaz amezaliwa August 30,1972 ( 41), San Diego, California, United States.
 Cameron Diaz ameapata umaarufu mkubwa kwa kuigiza kinara na mara nyingine msaidizi katika filamu zilizofanya vema katika masoko,zikiwemo:
Night and day,Charlie's Angels,Gangs of New York,Being John Malkovich,,In Her Shoes,The Other Woman,My Best friend's Wedding,The Holiday,The Mask,Bad Teacher na ninginezo nyingi.

Akiongea katika mahojiano na mwandishi wa Esquire Magazine, Cameron Diaz ameongelea kinachomfanyaasifikiria kuzaa watoto na kuishi hivyohivyo.Cameron Diaz amesema ni mzigo mkubwa na jukumu zito kuzaa watoto na kuwalea haswa ukiangalia mtoto anaendelea kuwa mtoto na anakutegemea na jukumu lako kumtimizia kula jambo mpaka afikishe miaka 18,amesema hayupo tayari kwa hilo na anaona si rahisi ukiliangalia swala hili kwa undani.Diaz amesema kila akijaribu kulifikiria anaona kama ni uamuzi mgumu sana kuzaa watoto
Cameron Diaz amesema anapenda sana watu na anapenda sana watoto ila hayupo tayari kubeba mimba na kuzaa.
Jiulize wazazi wake wangeyafikiriahayo angekuwa wapi.
  

0 comments:

Post a Comment