Cordozar Calvin Broadus, Jr aka Snoop Dogg alizaliwa mjini Long Beach, California , 20 Oktoba 1971) ni Rapa wa kimarekani na pia muigazaji wa filamu. Alipata umaarufu kama Snoop Dogg, mwanzoni walikuwa wakimuita Snoop Dogg Doggy.
Akiwa anawakilisha kikosi cha West Coast Hip Hop, pamoja na mshirika wake wa karibu bwana Dr. Dre
ambaye ndiye aliyesababisha Snoop kuwa hapo alipofikia. Snoop kuna
misemo yake ambayo imezoleka sana midomoni mwa watu vile akisema 'fo'
Shizzle, manizzle, akimanisha, kweli ndugu yangu
Albamu Alizotoa
- Mwaka
- 1993: Doggystyle
- 1996: Tha Doggfather
- 1998: Da Game Is to Be Sold, Not to Be Told
- 1999: No Limit Top Dogg
- 2000: Tha Last Meal
- 2002: Paid tha Cost to Be da Bo$$
- 2004: R&G (Rhythm & Gangsta): The Masterpiece
- 2006: Tha Blue Carpet Treatment
- 2007/08: Ego Trippin'
Filamu Alizotoa
- Mwaka
- 1994: Murder Was the Case (Platinum)
- 1998: Half Baked (cameo appearance)
- 1999: Hot Boyz
- 1999: Whiteboyz
- 1999: Urban Menace
- 2000: Up In Smoke Tour
- 2001: Baby Boy (Gold)[1]
- 2001: Training Day
- 2001: Bones
- 2001: The Wash
- 2003: Malibu's Most Wanted
- 2003: Old School
- 2004: Starsky & Hutch
- 2004: Soul Plane
- 2005: Boss'n Up
- 2005: Racing Stripes
- 2006: The Tenants
- 2006: MILF Money (Weeds episode)
- 2007: Arthur and the Minimoys (voice)
- 2007: Coach Snoop
- 2007: Mo
0 comments:
Post a Comment