Def Jam imesherekea kutimiza miaka 30 ya hip-hop kwa kufanya bonge moja la concert huko Brooklyn katika ukumbi wa Barclays Center alhamis usiku.Katika sherehe hizo mastar kibao wa hiphop walijityokeza na kutumbiza:Swizz Beatz akiwa na rappa DMX walichengua jukwaa kwa kuimba “Ruff Ryders’ Anthem,” “Where the Hood At,” na“Party (Up in Here).”
Ja Rule akiwa na Murder Inc aliwaleta jukwaani Irv Gotti na Ashanti forna kutumbuiza “Mesmerize” na“Always On Time.” The R&B
princess akabaki jukwaani kutumbuiza na vibao vyake kama “Happy” na “Foolish.”
Rick Ross alipanda kwa stage naFrench Montana ka kuimba“Pop That” and brought out Stalley for “One Foxy Brown pia alitumbiza ngom zake classics “kama B.K. Anthem,” “Ain’t No Ni**a,” na“Get Me Home.”
Mgeni Surprise alikuwa ni Big Sean ambaye aliuamsha ukumbi na anthem yake I Don’t F**k With You,” Fabolous alipanda jukwaani na kupiga ya “Hot Ni**a
Tazama baadhi ya picha za mastar walioshambulia jukwaa siku hiyo:
Monday, October 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment