Jay Sean si mwanafamilia wa Cash Money tena. Muimbaji huyo toka uingereza ameondoka katika familia hiyo rasmi baada ya kufanya nao kazi kwa takriban miaka 6 ambapo alifanikiwa kuachia albamu 2 tu, All or Nothingya mwaka 2009 iliyobebwa na na No. 1 single “Down,” na albamu Neon ya mwaka 2013.
Pamoja na kuondoka Cash Money Jay Sean amesema wamemalizana salama na ataendelea kuwa rafiki wa karibu na wanachama wenzake na mkurugunze wao [Cash Money CEOs] Slim and Baby,.
Sean amesema atafanya kazi kama msanii huru na anampango wa kuachia mixtape, Mistress II mwezi November.
Friday, October 24, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment