Dalili zinaonyesha wapendanao Nick Young na Iggy Azalea wana mpango wa kupiga hatua nyingine katika mahusiano yao.Wawili hao wameripotiwa kununua mjengo ili waishi pamoja na wameongelea kuanza mipango ya kufunga ndoa. katika kuthibitisha hayo,Nick aliwaambia waandishi wa jarida la DuJour Magazine :"Me and Iggy just bought a house. We’ve been getting really close lately. I’ve never been with somebody like this."
Wawili hao wamekuwa pamoja katika mapenzi kwa takribani mwaka mooja tu ila wameonyesha wana mpango wa kuafanya maisha pamoja kama mke na mume.
Nick amesema wanakwaruzana na kuelewana mara kwa mara kama wengine walio katika mahusiano.Kikubwa ni Iggy anapenda sana nivae vizuri,arizishwi na uvaaji wangu hivyo amenishauri nitafute mshauri wa kimitindo.
Wednesday, November 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment