Baba wa rappa Drake,Dennis Graham amesema anatafuta mdada mkali wa kumshirikisha katika singo yake mpya ambayo itakuwa ni singo ya nne.
Dennis Graham hapo hawali alikuwa mwanamuziki alieyanza mwaka 1962 na kumpa msukuma mwanaye Drake aingie katika muziki amsema sasa anarejea katika fani hiyo ya muziki.
Akihojiwa na jarida la XXL la nchini marekani Graham alisema:"I am in search of a classy female rapper to collaborate with me on
my new single," "Not looking for ghetto
style rapper serious inquiries only please DM me."
0 comments:
Post a Comment