Mariah Carey na Nick Cannon ni rasmi sasa kwamba wametalikiana.
Baada ya miezi kadhaa ya minog'ono na uvumi wa hapa na pale,muendesha mashindano ya “America’s Got Talent” amempa talaka aliyekuwa mkewe kwa takriban miaka 6,muimbaji mahiri,pop diva,Mariah Carey.tukio lililotokea tarehe 12 Dec.
Mastaa hao waliofunga ndoa mwezi April mwaka 2008 huko Bahamas na wamebarikiwa kupata watoto mapacha,Moroccan na Monroe,wenye umri wa miaka mitatu na nusu.
Monday, January 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment