Armando Christian Pérez ambaye anafahamika kwa jina la kisanii Pitbull amezaliwa January 15, 1981,Ni muimbaji wa muamerican toka maeneo ya Miami, Florida.
Armando Christian Pérez (born January 15, 1981), better known by his stage name Pitbull, is an American rapper from Miami, Florida.Mwaka 2004, Pitbull aliacha albamu yake ya kwanza aliyoipa jina la M.I.A.M.I. (Money Is A Major Issue), chini ya studio za TVT Records;album ambayo ilipikwa na producers Lil Jon na Jim Jonsin. Pitbull baadaye aliachia albamu ya pili mnamo mwaka 2006 El Mariel, na ya tatu ilikuwa The Boatlift, ya mwaka 2007.[4] Albamu yake ya nne aliitoa mwaka 2009,Rebelution iliyokuwa na ngoma kali kama "I Know You Want Me (Calle Ocho)".
Pitbull's mwaka 2011 aliachia album Planet Pit,ambayo ilikuwa na nyimbo kama "Give Me Everything"aliyowashirikisha Ne-yo na Afrojack,ambayo ilishika namba moja katika chati za Billboard Hot 100. The song reached #1 worldwide and featured fellow artists Ne-Yo, Nayer, and Afrojack. Pitbull kw mara nyingine aliachia albamu "Timber" mwezi October mwaka 2013.
Pitbull alichaguliwa na FIFA kutumbuiza katika sherehe za kombe la dunia 2014 kuimba wimbo "We Are One (Ole Ola)" na Jennifer Lopez na Claudia Leitte, wimbo huo ulikuwa ndiyo wimbo maalumu kwa mashindano hayo ya 2014 FIFA World Cup.[5]
0 comments:
Post a Comment