Snoop Dogg sasa ni babu.Hayo yamejidhihirisha baada ya mtoto mkubwa wa kiume wa rappa huyo,Corde Bradus kutangazwa kupata mtoto na mpeni wake Jessica Kyzer.Mjukuu huyo wa kwanza wa Snoop amepewa jina Zion.
Katika kudhihirisha zaidi rappa Snoop Dogg aliandika "Zion. U have a lot of love WAitn on u grandson!!” katika Instagram yake jumatani tarehe 14 jan.
0 comments:
Post a Comment