Chris Brown na mpenzi wake,Karrueche Tran walihudhuria maonyesho ya mitindo ya Mercedes-Benz Fashion Week.Mastaa hao waliwasili katika kumbi zilipofanyika sherehe hizo wakiwa wamevalia makoti ya ngozi na manyoya ya wanyama maarufu kama ''fur coats''. Breezy alivalia koti hio lililokatika mtindo wa hoodie .Wawili hao walinda nyuma ya jukwa kukutana na mwanamitindo Costello na kumpongeza kwa kazi zake nzuri za mwaka huu wa 2015. “Mwnamitindo Costello nguo zake zinapendwa haswa na watu maarufu kama Beyoncé, Ariana Grande, Christina Aguilera nk.
Wakati mastaa hao wakisifiwa kuwa walipendeza,chma kinachotetea haki za wanyama tayari kimepeleka salamu kwa mastaa hao kwamba wanakiuka haki za wanyama.
Wednesday, February 18, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment