Nicki Minaj na mpenzi wake mpya,rappa Meek Mill,hivi karibuni wamepiga picha wakibusiana kuonesha wapo tayari kuweka hadharani mahusiano yao.
Rappa wa kibao“Anaconda” alipost katika akaunti yake ya Instagram picha inayomuonyesha akibusiwa na mpenzi wake Meek Mill jana jumatatu ikiwa ni miezi kadhaa imepita mahusiano yao yakitajwa katika monong'ono.
Nicki ameingia katika mahusiano ya kwanza tangu kuachana na aliekuwa mpenzi wake kwa miaka mingi,Safaree Samuels mwaka uliopita.
Nicki Minaj na Meek Mill wameshirikiana katika nyimbo 2,“Big Daddy” na“Buy a Heart” ambazo zinapatikana katika albamu ya Nicki The Pinkprint.
Tazama piocha za wapenzi hao katika pozi mbbalimbali hapo chini:
Tuesday, February 3, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment