Kituo cha televisheni cha ABC Family jana (September 29) kimetangaza kwamba wataungana na rappa Nicki Minaj kwa kipindi maalumu kuhusu maisha ya star huyo.
The Young Money rapper,Nicki Minaj ametajwa kuwa mzalishaji m bunifu wa kipindi hicho kitakachoonyesha story ya maisha yaketangu anakua katika mitaa ya Queens, New York miaka ya 90.
Minaj alithibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kutangaza mchakato wa shindano la kumtafuta atakayemuigiza kwa kuandika:"I am now launching a nation wide search to find #YoungNicki,"
0 comments:
Post a Comment