Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, September 29, 2015

Inaonekana kama madhara ya kuhusiana kimapenzi kukiwa na utofauti mkubwa wa umri umeanza kuonyesha madhara yake (age gap) .
Hii imetokea kwa wapenzi reality star tokea katika familia ya kina Kardashian,Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 18 na rappa Tyga mwenye umri wa miaka 25. 
Katika kipande cha video kilichisambaa katika mitandao ya kijamii kinamuonyesha rappa Tyga mwenye umri wa miaka 25 akimgombeza Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 18 kuacha ku post kila kitu kila saa katika mitandao,mambo yanayofanya na vibinti vidogo vidogo .

0 comments:

Post a Comment