Rick Ross anamove kibosi bosi mwaka huu wa 2016. The Teflon Don ,Rick Ross ameachana na record label yake ya Def Jam na kusaini new solo deal Epic Records. Hbari hizo zilisambaa mitandaoni ijumaa jioni (Jan. 15) baada ya akaunti ya tweeter ya The Epic kutupia photo ya Rozay akiwa na executives L.A. Reid na Sylvia Rhone ikiwa na caption: “Welcome @rickyrozay to the #EPIC family!”
Rozay alisaini na Def Jam mnamo mwaka 2006 na kufanya nao albamu 8ikiwamo ya mwisho aliyoitoa mwezi December Black Market,ambayo imeshika mpaka nafasi ya 6 katika chati za albamu bora.
Rick Ross kusainiwa na Epic Records anaungana na mastaa kama Future, Diddy, Mariah Carey, Ciara, Travis Scott na Fifth Harmony.
Ross pia ana deal na Warner Music ambapo wamesaini kundi lake la Maybach Music Group wakiwamo Meek Mill, Wale, Stalley, Rockie Fresh, na Omarion.
Swali linabaki: Will MMG also be making the move to Epic?
Sunday, January 17, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment