Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, August 22, 2016

Tiwa Savage for Elle Magazine SA

Muimbaji mahiri nchini Nigerian,mwanachama wa lebo ya Mavins inayomilikiwa na Don Jaz na sasa amesainiwa na Roc Nation ya Jay Z,Tiwa Savage akiwa katika mahojiano na mwandishi wa jarida la Elle la South Africa katika kipengele kilichopewa jina “Keeping Up With Tiwa” amesema ataanza kuweka mambo yake faragha.
Sambamba na mipango na maendeleo yake makubwa katika muziki na hata hatua kubwa ya kusainiwa na lebo kubwa ya Roc Nation  private life was recently made public.about her private life, the mum of one-year-old Jamil said, “My biggest failure was exposing my private life too much. There will always be speculation, but by addressing it you are adding more fuel to the fire. I now choose not to address anything.

0 comments:

Post a Comment