Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 21, 2016

2Pac Will Be In The Rock & Roll Hall Of Fame
Siku ya jumaane (Dec. 20) rasmi kuwa Tupac Shakur atawekwa katika makumbusho maalumu ya watu wenye ushwishi mkubwa katika mziki katika shere za 32 zitakazo fanyika April 7, 2017 katika ukumbi wa Brooklyn’s Barclays Centerhatua chache toka pahala alipozaliwa 2Pac, Harlem.. Tupac atakuwa anaungana na mastaa kama Pearl Jam, Journey, Yes, Joan Baez, na Electric Light Orchestra.
Mwaka 2016 N.W.A ( ambalo liliwahi kutajwa kama “World’s Most Dangerous Group” ) walitajwa kama wasanii wa tano wa hip-hop kuingizwa katika makumbusho hayo maalumu ambapo katika sherehe za kutajwa walisherheshwa na rapa Kendrick Lamar ambaye pia alitolea ufafanuzi neno gangster kwa ksuema:“Being gangster symbolizes a hustle that you can change your reality,” he explained. “The true meaning of gangster, being able to show what it takes to be the world’s biggest music group.” Ice Cube kwa kusema: “Are we rock and roll?”  “I say, you right we rock and roll. Rock and roll is not an instrument. Rock and roll is not even a style of music. Rock and roll is a spirit.”
Ma rapa wengine NI Grandmaster Flash, Run-D.M.C., Beastie Boys na Public Enemy. 
Tupac ametajwa kama ni mmoja wa mastaa 19 wanaowania kuqwekwa katika makumbusho hayo maalumu ya wasanii na wanamuziki wenye ushawish ambapo wamo pia Janet Jackson, Chaka Khan,na Kraftwerk.

0 comments:

Post a Comment