Wakati wagizaji wa filamu Bongo wakihaha kutafuta namna watakavyorejesha heshima katika soko la filamu za Bongo ambazo zimekumbwa na mdororo,wenzao huko Nigeria wamezidi kupaa kimataifa.Filamu tano za Nigerian zimetajwa kuwania tuzo za “People’s Choice Award” 2017 atika tamasha la Nollywood Week Paris Film Festival.
Kwa mujibu wa waandaaji wa tuzo hizo ( www.nollywoodweek.com),filamu zilizoteuliwa kuwania tuzo hizo ni ‘76’ muongozaji Izu Ojukwu, ‘The Wedding Party’ muongozaji Kemi Adetiba na ‘Dinner’, a movie directmuongozaji Jay-Franklyn Jituboh.
Nyingine ni ‘Gidi Blues’ na ‘Green White Green’ ambazo zimeongozwa na Femi Odugbemi na Abba Makama.
Mchakao wa kupata filamu zinzowania uliendeshwa kwa waigizaji na waongozaji wa filamu Nigeria kuwakilisha kazi zao,filamu na tamthiria. feature films, animations and Nigerian television series for consideration.
Tuzo hizi ni kielelzo tosha za kuonyesha kiasi gani filamu za Nigeria zina ubora kuanzia muonekano,story,na hata kasha ukiachilia mbali usambazaji ambavyo vimetokana na umoja na mshkamano wa wadau wa filamu nchini humo ambao wameongozwa na semina na mafunzo ya mara kwa mara toka kwa wataalamu wa tasnia ya filamu.
Sherehe za utoaji wa tuzo hizo zitafanyika kuanzia May 11 mpaka May 14 katika ukumbi wa sinema wa l’Arlequin huko Paris, France.
Mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2016 ni muongozaji Omoni Oboli's kupitia filamu yake ya "The First Lady" ambapo sambamba na ushindi huo aliwezeshwa kiasi cha yuro 30,000 kwaajili ya production.
0 comments:
Post a Comment