Rihanna ametajwa kutunukiwa mtaa kwao huko Barbados
Wizara ya utalii ya Barbados Ministry wametangaza rasmi kwamba watamtunuku mtaa star mzaliwa wa hapo awali akiitwa Robyn Fenty sasa Rihanna.
Barbados watakuwa wanasherekea siku ya uhuru tarehe 30 November 2017 na watafanya sherehe maalumu ya kuliondoa jina la mtaa unaoahamika kama Westbury New
Road na kuwa Rihanna Drive
p.m.
to 5 p.m. on Barbados’ Independence Day, Nov. 30.
Rihanna pamoja na umaarufu mkubwa alionao lakini amekuwa akitembelea kwao Barbados mara kwa mara na kushiriki katika kuchangia vitu vingi vya kijamii huku akiwashawishi watu marufu kutembelea na kuchangia mambo mbalimbali ya kijamii,mastaa kama Prince Harry na Oprah.
Rihanna aliwahi kuchangia kiasi kikubwa cha pesa kama dola billioni 1.7 kwa hospitali ikiwa ni kumuenzi bibi yake Gran Gran Dolly.
kwa mtazamo wako msanii gani bongo anastahili kupewa mtaa na kwa lipi alilolifanya.
Monday, October 16, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment