Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 22, 2014

 Destiny's Child
Bwana asifiwe inaweza kuwa kauli ya kwanza baada ya mashabiki wa kundi la Destiny’s Child kupata habari njema ya watatu hao kurudi na kufanya kazi pamoja.Kundi la Destiny’s linaloundwa na Beyoncé, Michelle, na Kellywameungana katika kutngeneza wimbo mpya wa gospel ulio katioka mahadhi ya kuchezeka wa Michelle “Say Yes!”.
Haya ni baadhi ya maneno yanayopatikana katika wimbo huo:“When Jesus say yes, nobody can say no,” .
Wimbo “Say Yes utapatikana katika albamu mpya na ya nne ya Michelle,Journey to Freedom.

0 comments:

Post a Comment