Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 22, 2014

 
Rappa/mchungaji Mase anaamini mkewe anamuangsha na kuliaibisha kanisa na hivyo amemtoa katika madaraka na majuku kanisani hapo kwa sababu za ulevi.
Mase amemsimamisha mkewe Twyla Betha kuhubiri injili na kutoa huduma mbalimbali kanisani hapo baada ya mkewe huyo kukamatwa na mapolisi wa usalama barabarani na kukutwa na makosa ya ulevi baada ya kufanyiwa vipimo hivyo na kukutwa amezidisha ulevi mara mbili ya kiwango kinachuruhusiwa.(inaruhusiwa chini ya 7 na yeye alikuwa juu ya 14).
Taarifa zaidi zinadai waze wa knaisa na waumini wa kanisa hilo wanaamini kuwa mke wa mchingaji wao ana mappepo ndiyo mana mlevi.Rappa/mchungaji Mase alifungua maombi ya kudai ya talaka mwezi january baada ya tukio la mkewe huyo kukutwa na hatia ya ulevi kupindikia.

0 comments:

Post a Comment